Wanafunzi wa Brother Hood Nursery School wakiwa maktaba ya watoto katika ziara yao ya kimasomo.Maktaba kuu imeanzisha programu maalumu kwa ajili ya skuli za serikali na binafsi kutembelea makataba na kujifunza jinsi gani ya kutumia maktaba na kuwashajihisha wanafunzi juu ya matumizi ya huduma za maktaba.