Watumishi wa bodi ya huduma za Maktaba Zanzibar wakiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua maktaba za skuli ,kwa ajili ya kuona namna gani wataweza kuziendeleza maktaba hizo ili kufukia katika kiwango cha huduma za maktaba kinavyotakiwa kifikiwe .katika ziara hizo watumishi wa maktaba hutumia fursa hiyo kutoa maelekezo ya kitaalamu jinsi ya kupangilia na kuendesha huduma za maktaba nchini.