Search

Search books by typing book title or Authour

NEWS&EVENTS
SUGGESTION BOX
JOB OPORTUNITY

Download Documents

Jarida la maktaba
ZLS Policy
ZLS Brochure
ZLS ORG Structure
ZLS law
Customer Care Contract

Library workshop

Staff Training
User Training
Teacher library Training
Children programe
Inservice Training

Quick Links

Charting Page
Our Donors
Open Access
WEMA
Staff mail
E-learning
Free books
E-library
Online Catalogue

Library links

Central Library IIT Kharagpur
Tanzania library board
Library of Congress

Library working Days

From Monday To satarday
Sunday ........... Closed
Library working hour
From 8:30 a.m to 18:00 p.m

Online user's counter

KONGAMANO LENYE KICHWA CHA HABARI"KIPI KIFANYIKE ILI WATUMIAJI WA MAKTABA WAONGEZEKE"

Siku ya Jumatano ya tarehe 26/09/2018. Shirika la huduma za maktaba liliandaa kongamano lililowashirikisha wanafunzi wa Shule za Secondari za hapa Wilaya ya Mjini Unguja ,pamoja wa watumiaji wote wa maktaba.Kongamano hilo lilifanyika ndani ya ukumbi wa maktaba kuu maisara lenye lengo la kuwashajihisha wanafunzi pamoja na jamii kiujumla kuwa tabia ya kujisomea ndani ya maktaba, Hivyo kongamano hilo lilihudhuriwa na mgeni rasmin ambaye ni mkurugezi wa taasisi ya elimu.
Washriki walichangia vizuri sana kwenye kongamano hilo mpaka wengeine wakashauri "shirika liwe na muendelezo wa makongamano kama haya". KONGAMANO JENGINE KAMA HILI LITAFANYIKA MAKTABA KUU PEMBA SIKU YA JUMANNE YA TAREHE 09/10/2018 MUDA WA SAA 2:00 ASUBUHI.

KUZINDULIWA RASMIN KWA TOVUTI YA SHIRIKA LA HUDUMA ZA MAKTABA ZANZIBAR

Siku ya Jumatano ya tarehe 26/09/2018 Shirika la Huduma za maktaba iliweka hewani tovuti yao rasmin na kuzinduliwa na Mgeni Rasmin ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Zanzibar

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA DUNIANI

Shirika la Huduma Za Maktaba Kwa ufadhili wa Book Aid international kila ifikapo tarehe 8 September ya kila mwaka inaazimisha siku ya KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA DUNIANI .kwa mwaka huu maadhimisho hayo yalifanyika ndani ya uwanja wa jengo la Maktaba na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Mgeni rasmini katibu mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa niaba ya Mheshimiwa Naibu waziri wa elimu MMANGA MJENGO MJAWIRI .na kauli mbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu niKUSOMA NA KUENDELEZA UJUZI"